EEH WATU TWAPENDA UZURI NA UZURI SHURTI UFATE MASHARTI YAKE.
1.EAT GREEN VEGETABLE KULA MBOGA ZA MAJANI ZINA FAIDA KIBAO MWILINI
KIAFYA PIA KWA NGOZI YAKO.BAADHI YA FAIDA NI KI KUCLEANCE MWILI
WAKO,KUSAIDIA KWENYE MM ENG’ENYO WA CHAKULA .2.SLEEP MORE KULALA KUNA FAINA KIAKILI NA KIMWILI USIPOLALA VIZURI UNACHOKA SANA NA NGOZI YAKO INAKUWA HAINA MVUTO
3.EXERCISE REGULARLY WAPI #TEAMFITNESS#OURWEIGHTLOSSJOURNEY MAZOEZI NI MUHIMU MNOO HAYA OPTION
4.COCONUT OIL ,AFUTA YA NAZI HAYANA MKUBWA WALA MTOTO YATAKUSAIDIA KULINDA NA KUPENDEZESHA NGOZI YAKO,MAFUATA HAYA YANAWEZA TUMIKA KAMA CLEANSER YA USO,HATA CONDISHENA YA NYWELE
6.EAT OMEGAS ,HII OMEGA 3 YASAIDIA KUFIGHT WRINKLES,INFLAMMATION NA KUSAIDIA KUPUNGUZA CHUNUSI.KULA SALMON,TROUT,FLAX N.K
7.DONT WASH YOUR HAIR EVERDAY WANASEMA OSHA NYWELE KAMA WAWEZA KILA BAADA YA SIKU MOJA SIO KILA SIKU
8.GRATITUDE KUWA NA SHUKURANI KWA MAISHA YAKO KWA CHOCHOTE UNACHOPATA KUNA MTU HAPATIA AU KUISHI MAISHA ULIYONAYO
No comments:
Post a Comment