Wednesday, 6 January 2016

NATURAL HAIR

JINSI YA KUBANA NATURAL HAIR


HII NI NJIA RAHISI WENYE NATURAL HAIR WAWEZA BANA  MWENYEWE HOME
MAHITAJI
CHANUO
MAFUTA
UZI.
CHUPIO
HATUA YA MWANZO CHANA NYWELE KWENDA JUU HALAF FUNGA UZI KATIKATI YA NYWELE AU AMBAPO UNAPENDELEA WEWE
Bun2-1024x706
NYWELE UKIFUNGA UZI ILI KUPATA MUONEKANO MZURI CHUKUA ZILE ZA JUU ZINAZO HANG THEN ZIFUNGE KIJIBUTU HIVI AU OKOTA
Bun3-1024x993

CHUKUA CHUPIO BANA HAPO PENYE KIBUTU WAWEZA TUMIA HIZI CHUPIO KUBANA NYUMA KAMA NYWELE ZINAPEPEA HAZIKUBANIKA VIZURI.
BASI UR GOOOD TOGO RAHIS EEHHH .
Bun4-1024x808
KAMA NI MTOKO UPO FRESH TAYARI
Bun1-1024x706
CREDIT :8020Fashions Blog

No comments:

Post a Comment