SASA NIMEWAJIA NA SABABU NYINGI TU ZA WEWE KUPUNGUZA KU PAKA MAKE UP MARA NYINGI.
1.UTAPATA NGOZI YENYE AFYA UKIPUNGUZA MAKE UP UTAUACHA USO WAKO UWE FREE NA VINYWELEO KUPATA SPACE YA KUFANYA KAZI YAKE,MAKE UP KILA SIKU NAZO ZINAZEESHA NA KULETA WRINKLES .
3.IT SAVES MONEY WOTE TUNAJUA MAKE UP NI GHALI ZILE PRODUCTS UNUNUE ZOTE TENA UNAPAKA KILA SIKU KILA BAADA YA MIEZI KADHAA UNANUNUA ILA UKIPUNGUZA NA KUANZA KUPAKA OCCASIONALY UTAWEZA SAVE HELA ZAKO UFANYE KITU KINGINE.
4.LOVE/WAWEZA PATA MPENZI SIO KILA MWANAUME ANAPENDA MAKE UP WENGINE WANAPENDA WADADA WANAOPAKA MAKE UP KIDOGO TU,NI VIZURI KUPAKA KIDOGO ILA UKIPENDWA UMEPENDWA WEWE SIO MAKE UP NA HUTAWAZA KUAMKA ASUBUHI MTU ANASHANGAA KHA HUU USO MBONA JANA ULIREMBWA KUMBE NDO UKO HIVI FOR REAL UNAWEZA UKIMBIWE.JIAMINI
6.UNAPUNGUZA MIZIGO/IT LIGHTENS YOUR LOAD MAANA MPAKA MAKE UP LAZIMA ABEBE VIKOROKORO VYOOTE KILA MAHALI ANAPOENDA MIZIGO KIBAO NA ILE KILA SAA KURUDISHIA SIJUI LIPSTICK KIPODA YANI HAMCHOKI, ILA UKIWA UNAPAKA KIDOGO NA MIZIGO INAPUNGUA,
7.ALLERGIES MAKE UP ZINA CHEMICALS NA ZINATENGENEZWA NA INGRIDIENTS NYINGI HIVI VIKOROMBWEZO VYAWEZA KUKULETEA ALLERGY ,ILI KUTOPATA /KU AVOID ALLERGIE NA NGOZI KUZEEKA AU RASHES AVOID MAKE UP
8.TIME KWAKWELI MAKE UP KUPAKA HADI UMALIZE ZINACHUKUA MUDA MWINGI MNOO SAVE TIME YAKO KWA KUPUNGUZA KUPAKA MAKE UP
No comments:
Post a Comment