Mrembo wa Tanzania mwenye makazi yake jijini New York, Marekani, Herieth Paul ameongoza orodha ya models 10 kutoka Afrika wanaofanya vizuri zaidi kimataifa.
Orodha hiyo imetolewa na mtandao wa Africa News. Mfahamu zaidi Herieth kwa kutazama mahojiano tuliyofanya naye mwishoni mwa mwaka jana.
Warembo wengine waliopo kwenye orodha hiyo kuanzia namba mbili ni:
2.Maria Borges – Angola
3. Betty Adewole (Nigeria, Uingereza)
4. Ajak Deng (Sudan Kusini)
5. Roberta Narciso (Angola)
6. Malaika Firth (Kenya)
7. Liya Kebede (Ethiopia)
8. Candice Swanepoel (Afrika Kusini)
9. Fatima Siad (Somalia)
10. Anais Mali (Chad)
No comments:
Post a Comment