Wanawake siku hizi kwa swala la mitindo ya vitenge hawako nyuma kila mwanamke anapenda kuonekana wakisasa na anaekwenda na wakati hivyo basi lazima tukubaliane kwamba kitenge ni vazi lisilopitwa na wakati kwani kila siku mitindo mipya ya ushonaji wa kitenge inabadilika.Siku hizi mtu anaweza kushona kitenge na kukiweka kwa namna anayotaka yeye na kuonekana wa kisasa na maridadi.
KIENGE kimejizolea umaarufu mkubwa sana ndani na nje ya Africa kwani KITENGE ni vazi la muda mrefu lisilo pitwa na wakati
Pia kitenge unaweza kuvaa sehemu yoyote na ukawa unajiamini angalizo hapa sasa inategemea na ulivyo amua kukishona kitenge chako
PICHA ZA MITINDO TOFAUTI YA USHONAJI WA KITENGE
 |
Uweza kushona short dress (gauni fupi)
|
 |
Gauni refu lenye nakshi
|

|
Shorts na Koti
|

|
Skirt na Koti
|

No comments:
Post a Comment