Jambo tusilo weza kupingana nalo ni kwamba uwekaji wa nywele bandia unatugarimu sana wanawake kwani ni garama kubwa sana kuanzia kununua kusuka mmpaka kuzitengeneza zikae vizuri ukilinganisha na utunzaji wa nywele asilia ambazo hazi garimu kwa kiasi kikubwa sana.
Friday, 13 March 2015
KUWA WAKISASA UKIWA NA NYWELE ZAKO ASILIA(NATURAL HAIR)
UNAWEZA KUWA WA KISASA NA MREMBO UKIWA NA NYWELE ZAKO ASILIA ENDAPO ZITAKUA SAFI NA ZENYE MATUNZO....Sasa ni wakati wa wanawake na wasichana kubadilika kwa kupenda asili yetu na kuachana na utumwa wa kuweka weaving na kuvaa mawigi kwani tukizitunza na kuzijali nywele zetu asilitunaweza kuwa warembo na wakisasa zaidi bila kupata karaha ya joto,kuwashwa kichwa, mmba na kutoa harufu mbaya kichwani kutokana na uchafu,joto na kukaa muda mrefu bila kuosha kichwa
Jambo tusilo weza kupingana nalo ni kwamba uwekaji wa nywele bandia unatugarimu sana wanawake kwani ni garama kubwa sana kuanzia kununua kusuka mmpaka kuzitengeneza zikae vizuri ukilinganisha na utunzaji wa nywele asilia ambazo hazi garimu kwa kiasi kikubwa sana.
![Short hairstyles for black women with color Short hairstyles with color for black women](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tAzGtjZdGo33_CYFRfc0EamwKBG3whxPGmrV_zTbKIMqAIArOlzLbEnI_Rcx4deh91YbdtJsjteqjoCKNeeVRbv95kdSFxVmArpUPEK4c89c6ol687UGlAEE1Xb5Rq0p_1QSxsuzr9r99ThJADYq1dMwGd9PfltbaflnI1r4vWnxzyEGLlERWXnNQ=s0-d)
![Short natural hairstyles for black women](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sYASxwmn8IsV2VhlQV__UMQVAMWhvhhpgB4QkZQ27HiiXEn4-ZIVChk5iFcXkdtwwANEgJXbMf2zgMkZwrnNQNM1oRIPC9gRV_rX-DeTpW7HfeirLw3ukRTUZOiimcJUV7QOa-2qaQvhvu6wWVQnc81wJQFLHWGWab6g3CVdGCLMXJjcdULA=s0-d)
Jambo tusilo weza kupingana nalo ni kwamba uwekaji wa nywele bandia unatugarimu sana wanawake kwani ni garama kubwa sana kuanzia kununua kusuka mmpaka kuzitengeneza zikae vizuri ukilinganisha na utunzaji wa nywele asilia ambazo hazi garimu kwa kiasi kikubwa sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment