Tuesday, 31 March 2015

Jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani

Owky hizo apoo ndo tips muhimu kutengeneza ngozi yako ukiwa nyumbani


1. Chukua maziwa ya mgando na utumie kusafisha uso wako.
2. Scrub kwa kutumia mchanganyiko wa mlozi na karoti au mlozi wa jani la chai.
3. fanya toning na maji vuguvugu yaliyochanganywa na kipande cha limao na weak kidogo katika taulo la pamba na futa uso wako mahali pote kasoro penye tatizo.
4. Tumia ute mweupe ambao utakuwa umemwagia katika taulo lako na kujisugua taratibu.
5. Jisafishe na maji ya vuguvugu
6. Fanya toning tena kama ilivyokuwa katika hatua ya tatu juu
7. Ili kuondoa ukavu wa ngozi, kata matango na yabandike katika ngozi

Friday, 20 March 2015

THINGS TO CONCEDER ILI UENDELEE KUWA MZURI ZAIDI

EEH WATU TWAPENDA UZURI NA UZURI SHURTI UFATE MASHARTI YAKE.
1.EAT GREEN VEGETABLE KULA MBOGA ZA MAJANI ZINA FAIDA KIBAO MWILINI KIAFYA PIA KWA NGOZI YAKO.BAADHI YA FAIDA NI KI KUCLEANCE MWILI WAKO,KUSAIDIA KWENYE MM ENG’ENYO WA CHAKULA .
HU8U9 2.SLEEP MORE KULALA KUNA FAINA KIAKILI NA KIMWILI USIPOLALA VIZURI UNACHOKA SANA NA NGOZI YAKO INAKUWA HAINA MVUTOHGYGYI8
3.EXERCISE  REGULARLY WAPI #TEAMFITNESS#OURWEIGHTLOSSJOURNEY MAZOEZI NI MUHIMU MNOO HAYA OPTION
GYGY 4.COCONUT OIL ,AFUTA YA NAZI HAYANA MKUBWA WALA MTOTO YATAKUSAIDIA KULINDA NA KUPENDEZESHA NGOZI YAKO,MAFUATA HAYA YANAWEZA TUMIKA KAMA CLEANSER YA USO,HATA CONDISHENA YA NYWELE
7667 5.EAT VITAMINS  KULA VITU KAMA RASPBERRIES,BLUEBERRIES,VIAZI VITAMU,YELLOW,RED NA GREEN VEGGIES
HGYGY88 6.EAT OMEGAS ,HII OMEGA 3 YASAIDIA KUFIGHT WRINKLES,INFLAMMATION NA KUSAIDIA KUPUNGUZA CHUNUSI.KULA SALMON,TROUT,FLAX N.K


YY87Y 7.DONT WASH YOUR HAIR EVERDAY WANASEMA OSHA NYWELE KAMA WAWEZA KILA BAADA YA SIKU MOJA SIO KILA SIKU
77Y 8.GRATITUDE KUWA NA SHUKURANI KWA MAISHA YAKO KWA CHOCHOTE UNACHOPATA KUNA MTU HAPATIA AU KUISHI MAISHA ULIYONAYO
87Y67

FAIDA ZA KUTOKA BILA MAKE UP( GO MAKE UP FREE)


KUNA KIPINDI WATU HADI CHALLENGE WALIKUWA WANAPEANA ZA KU GO MAKE UP FREE KUHAMASISHANA KUPUNGUZA MAKE UP,MAKE UP ZINASAIDIA SANA KUPENDEZESHA APPEARANCE ZETU ILA SIO NZURI KI AFYA .LETS FACE IT ZINA CHEMICHALS KIBAO.
SASA NIMEWAJIA NA SABABU NYINGI TU ZA WEWE KUPUNGUZA KU PAKA MAKE UP MARA NYINGI.
1.UTAPATA NGOZI YENYE AFYA UKIPUNGUZA MAKE UP UTAUACHA USO WAKO UWE FREE NA VINYWELEO KUPATA SPACE YA KUFANYA KAZI YAKE,MAKE UP KILA SIKU NAZO ZINAZEESHA NA KULETA WRINKLES .

KUI2.INASAIDIA KUIMPROVE KUJIAMINI/CONFIDENCE WENGI WALOZOEA MAKE UP HAWANA CONFIDENCE YA KUTOKA BLA MAKE UP WAMEKUWA WATUMWA ILA UKIANZA TARAIBU ITAKUONGEZEA UWEZO W KUJIAMINI ZAIDI KUTE,BEA BILA MAKE UP
878 - Copy
3.IT SAVES MONEY WOTE TUNAJUA MAKE UP NI GHALI ZILE PRODUCTS UNUNUE ZOTE TENA UNAPAKA KILA SIKU KILA BAADA YA MIEZI KADHAA UNANUNUA ILA UKIPUNGUZA NA KUANZA KUPAKA OCCASIONALY UTAWEZA SAVE HELA ZAKO UFANYE KITU KINGINE.Y8I
4.LOVE/WAWEZA PATA MPENZI SIO KILA MWANAUME ANAPENDA MAKE UP WENGINE WANAPENDA WADADA WANAOPAKA MAKE UP KIDOGO TU,NI VIZURI KUPAKA KIDOGO ILA UKIPENDWA UMEPENDWA WEWE SIO MAKE UP NA HUTAWAZA KUAMKA ASUBUHI MTU ANASHANGAA KHA HUU USO MBONA JANA ULIREMBWA KUMBE NDO UKO HIVI FOR REAL UNAWEZA  UKIMBIWE.JIAMINIUY8
5.UKI GO MAKE UP FREE KUTASAIDIA WEWE KUPATA VITAMIN D ZAIDI UNAYOHITAJI MWILINIJU
6.UNAPUNGUZA MIZIGO/IT LIGHTENS YOUR LOAD MAANA MPAKA MAKE UP LAZIMA ABEBE VIKOROKORO VYOOTE KILA MAHALI ANAPOENDA MIZIGO KIBAO NA ILE KILA SAA KURUDISHIA SIJUI LIPSTICK KIPODA YANI HAMCHOKI, ILA UKIWA UNAPAKA KIDOGO NA MIZIGO INAPUNGUA,HIL
7.ALLERGIES MAKE UP ZINA CHEMICALS NA ZINATENGENEZWA NA INGRIDIENTS NYINGI HIVI VIKOROMBWEZO VYAWEZA KUKULETEA ALLERGY ,ILI KUTOPATA /KU AVOID ALLERGIE NA NGOZI KUZEEKA AU RASHES AVOID MAKE UPAttractive young woman outdoor with tissue.
8.TIME KWAKWELI MAKE UP KUPAKA HADI UMALIZE ZINACHUKUA MUDA MWINGI MNOO SAVE TIME YAKO KWA KUPUNGUZA KUPAKA MAKE UPHI
H79.HARSH CHEMICALS WANAOTENGENEZA MAKE UP WANAWEZA KUWA WANAJITAHIDI KUTENGENEZA MAKE UP KWA UBORA ZISIDHURU BINADAMU ILA HAWAWEZI KUKIMBIA SWALA A KEMIKALI NA MADHARA YAKE KWA BINADAMU KINGINE WORSE NI WAO KUTENGENEZA VYAKUTOLEA MAKE UP VYENYEWE VIMEJAA KEMIKALI NI SHEEDER  ETI

Wednesday, 18 March 2015

MADHARA YA KUTUMIA VIPODOZI VYENYE KEMIKALI


KWA miaka mingi sasa, baadhi ya watu wamegubikwa na dhana potofu ya kwamba, kuwa mweupe ndiyo urembo .
Dhana hii imewafanya wengi waanze kutumia vipodozi vikali, bila kujali madhara ya baadaye.
Kwa mfano, hata baadhi ya wasanii, wake kwa waume, wamekuwa wakijibadili ngozi zao na tumewaona wakibadilika hatua kwa hatua.
Hata hivyo, unapohisi kuna uzuri, mara nyingi kuna kudhurika. Madhara ya awali ya vipodozi hivi, huonekana kwa mtumiaji kubabuka ngozi, kuwa na mabaka meusi au ngozi kuwa nyekundu. Lakini yapo madhara mengine mabaya zaidi ya hayo.
Kemikali hatari
Katika bidhaa hizo zinazotumika za kujichubua, kuna kemikali za aina mbili.
Kwanza ni ‘Hydroquinone’ na ya pili ni ‘Mercury’.
Hydroquinone kemikali hii ni sumu kali, ambayo hutumika kwa ajili ya kuchapisha picha na kutengeneza bidhaa za mpira.
Hutumika pia kama kisaidizi katika kutengeneza rangi za nywele.Mercury nayo ni kemikali ya sumu inayoweza kuuzwa katika maduka ya madawa tu tena bila maelekezo ya madaktari
linapokuja swala la afya zetu kwa siku hizi kumekuwa na mlipuko wa magonjwa mengi yasiyo kuwa na tiba na hii inachangiwa na vitu au vipodozi tunavyokua tunavitumia bila kujua nini chanzo chake na vina tengenezwa na nini, imefika  wakati watu k  lazima tujifunze na tuwe wasikivu sana hasa ujitabua na kuanza kutumia vipodozi asilia
1.      Moja kati a viambato vilivyopigwa marufuku kutumika kama kipodozi ni aina ya “steroids” ambazo kimsingi ni dawa, mfano wa viambato hivi ni pamoja na “Clobetasol” na “Betamethosone” zinazopatikana katika dawa aina ya MOVATE, BETACIRT-N, DIPROSON, GENTRISONE, n.k

2.      Bidhaa hizi zinaendelea kutumika kama dawa za cheti (prescription only medicine) na lazima kutolewa kwa wagonjwa wa ngozi kwa kufuata maelekezo ya kidaktari na mfamasia. Hata hivyo, haziruhusiwi kutumika kama vipodozi.

3.      Dawa nyingine zilizopigwa marufuku kutumika kama vipodozi nizile za kuongeza makalio na maziwa. Hii ni kutokana na kusadikiwa kuwa huleta madhara kwa watumiaji ikiwa ni pamoja na kuhatarisha kupata ugonjwa wa kansa.
4.      Kutokana na madhara hayo ya kiafya na kiuchumi yanayoweza kusababishwa na matumizi ya mikorogo na vipodozi vyenye viambato sumu, TFDA imeweka mifumo ya kiuthibiti wa vipodozi ili kuhakikisha kuwa vipodozi vinatumiwa na wananchi ni bora na salama. Hii ni kwa kuhakikisha kuwa vipodozi hivi havina viambato vyenye sumu vinavyoweza kudhuru afya ya mtumiaji.

5.      Mifumo ya uthibiti wa vipodozi inajumuisha usajiri wa vipodozi, udhibiti katika uingizaji, ukaguzi na ufuatiliaji na utoaji wa vibali vya biashara ya vipodozi kama ilivyoainishwa.
MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI YA VIPODOZI VYENYE VIAMBATO VYENYE SUMU
1.      BITHIONOL
athari zake.
Kupata mzio wa ngozi/allergic  na athari kwenye ngozi ikiwa itapata mwanga wa jua.
 
Add caption
2.      HEXACHLOROPHENE
madhara/ athari
·  Inapenya kwenye ngozi na kuingia kwenye ishipa ya fahamu na kusababisha ugonjwa wa mishipa ya fahamu hasa kichwani.
·  Pia inasababisha ugonjwa wa ngozi na kuathirika kwa ngozi pindi unapokuwa kwenye mwanga wa jua.
·  Kwa watoto wachanga husababisha uhalibifu kwenye ubongo
·  Vile vile ngozi inakuwa laini na kusababisha kupata ugonjwa kama fangasi kwenye ngozi au maambukizi ya vimelea vya maradhi.

3.      ZEBAKI (MERCURY)
Madhara /Athari
·  Husababisha madhara ya ngozi, ubongo, figo na viungo, mbalimbali vya mwili
·  Zebaki inapopakwa kwenye ngozi kuweza kupenya taratibu ndani ya mwili na kusababisha sumu yake kuingia kwenye damu na kusababisha madhara mwengi mwilini.

·  Mama mjamzito akitumia vipodozi vyenye zebaki mtoto huathirika akiwa akiwa bado tumboni na huzaliwa akiwa na mtindio wa ubongo.
·  Husababisha ngozi kwa laini na kuwa na mabaka meusi na meupe
·  Husababisha mzio/ allergic wa ngozi na muwasho
·  Sumu iingiapo kwenye mishipa ya fahamu husababisha ugonjwa wa mishipa ya fahamu.
·  Sumu ya zebaki ikiingia mwilini kwa kiwango kikubwa husababisha madhara maka upofu, uziwi, upotevu wa fahamu wa madhara mara kwa mara.
4.      VINYI CHLORIDE
Madhara/ athari
·  Inasababisha kansa ya maini, ubongo, mapafu na mfumo wa damu
·  Sumu pia husababisha kuumwa kichwa, ksikia kizunguzungu na kupoteza fahamu

5.      ZIRCONIUM
Madahara/ athari
·  Husababisha kansa ya mapafu na ngozi
6.      HALOGENATED SALICYLANILIDE
Madhara \athari
·  Husababisha mzio wa ngozi mara inapopata mwanga wa jua
·  Husababisha ugonjwa wa ngozi

7.      CHLOROQUINONE
Kundi zima la vipodozi vya CHLOROQUINONE hutumika kutengenezea vipodozi lakini kiambato ambacho kinachotumika ziaid ni kiambato cha Hydroquinone.

8.      HYDROQUINONE
Madhara/ athari
Husababisha muwasho wa ngozi, mzio wa ngozi, kansa, kuchubuka kwa ngozi na kusababisha mabaka meusi na meupe.

Monday, 16 March 2015

KUPENDEZA NA KUWA STYLISH NI ZAIDI YA KUVAA

Ni vi zuri watu kupendeza na kwenda na wakati na ili mtu upendeze lazima uzingatie vitu vingi na muhimu hapa tunaangalia rangi ya nguo, make up, viatu, nywele, mapambo, umbo au shep ya mvaaji na vingine vingi.
 Jambo kubwa la kuzingatia au kuwaza kabla ya kufanya hayo yote lazima ujue unaenda wapi, kuna shughuli gani, na wakina nani watakuwepo  eneo ilo pia wewe mvaaji unanafasi gani au wewe ni nani kwenye jamii.
 Watu  wengi wamekuwa wakivaa mavazi tofauti tofauti maeneo mbalimbali na kuonekana hawaendi na wakati kwani wanakuwa hawavai kutokana na mazingira au tukio husika lakini wao wenyewe wanajiona wako sahihi na wamependeza.
  Kama nlivyosema apo awli kupendeza na kuwa stylish ni zaidi ya kuvaa, kujiremba na mambo mengine mengi.

  Kujiamini pia kunamfanya mtu aonekane stylish na aliyependeza hata kama atakuwa amevaa  kawaida sana, watu wengi wana poteza kujiamini wanapo kuwa wamevaa nguo walizozichagua wao na kujikuta wao tofauti kna watu wengine kwenye eneo husika, jaribu kujiamini na present your self, hata kama wewe ndo ulotokelezea tofauti kutokana na utakavyo onyesha kujiamini ndivyo utakavyo pia kwa watu wengine.


UREMBO WA MACHO( EYES MAKE UP/ SMOKY EYES




Kuna urembo mbalimbali wa macho kulingana na taste ya mtu na mapendeleo yake . Leo nitazungumzia "smoky eyes" au macho yaliyapambwa kwa eye liner, mascara na eye shadows zenye rangi nyeusi, grey au za mng'aro.

Jinsi ya kuremba jicho:
-hakikisha uso na ngozi inayozunguka jicho ni safi kabla ya kuanza urembo wowote usishawishike kupaka vipodozi juu ya ngozi chafu haitakaa vizuri make up yako. Safisha kwa kutumia face towel iliyochovywa kwenye maji ya moto(huwa naona ni rahisi kwangu hasa kama kitambaa nitumiacho ni cheupe ni rahisi kujua kuwa u msafi au la kwa kuangalia kitambaa) kamwe usioshe uso wako kwa sabuni au maji ya moto. Ngozi ya uso iko rahisi kudhulika ikipata msukosuko kidogo. Sabuni huwa na kemikali nyingi na maji ya moto yanapausha uso. kama utalazimika kutumia sabuni osha uso kwa maji ya baridi kwa muda kiasi ili kuondoa kemikali zitakazokuwa zimeachwa.

- tayarisha kope/eye lids zako kwa kupaka wanja mweusi kwa uangalifu au eyeliner ya dark colour kama ni mtu anayejiamini unaweza tumia rangi yoyote ile sababu si wote wanaweza paka rangi ya njano au kijani na wakawa confident na muonekano wao.

-Kwa matokeo mazuri uwe na eye shadow za aina mbili moja ya rangi iliyokolea na nyingine iliyo light. Anza na rangi iliyo light paka kwa uangalifu kuelekea kona ya nyusi kama picha hapo chini
endelea kama unapenda ming'ao machoni(hususani kwa sherehe) unaweza kupaka juu ya kope zako ila hakikisha hufiki mbali sana karibu na nyusi . Kisha malizia na darker colour kama picha ya kulia inavyoonyesha anzia kona ya kushoto ya jicho kwenda kulia kwa kiasi upendacho.

-Linganisha macho yako yote kama yana muonekano sawa kisha unaweza kuongezea mascara kwa juu ya nyusi ikiwa ni mpenzi.

Friday, 13 March 2015

KUWA WAKISASA UKIWA NA NYWELE ZAKO ASILIA(NATURAL HAIR)

UNAWEZA KUWA WA KISASA NA MREMBO UKIWA NA NYWELE ZAKO ASILIA ENDAPO ZITAKUA SAFI NA ZENYE MATUNZO....Sasa ni wakati wa wanawake na wasichana kubadilika kwa kupenda asili yetu na kuachana na utumwa wa kuweka weaving na kuvaa mawigi kwani tukizitunza na kuzijali nywele zetu asilitunaweza kuwa warembo na wakisasa zaidi bila kupata karaha ya joto,kuwashwa kichwa, mmba na kutoa harufu mbaya kichwani kutokana na uchafu,joto na kukaa muda mrefu bila kuosha kichwa


Jambo tusilo weza kupingana nalo ni kwamba uwekaji wa nywele bandia unatugarimu sana wanawake kwani ni garama kubwa sana kuanzia kununua kusuka mmpaka kuzitengeneza zikae vizuri ukilinganisha na utunzaji wa nywele asilia ambazo hazi garimu kwa kiasi kikubwa sana.


Short hairstyles with color for black women

KITENGE VAZI LISILOPITWA NA WAKATI

Wanawake siku hizi kwa swala la mitindo ya vitenge hawako nyuma kila mwanamke anapenda kuonekana wakisasa na anaekwenda na wakati hivyo basi lazima tukubaliane kwamba kitenge ni vazi lisilopitwa na wakati kwani kila siku mitindo mipya ya ushonaji wa kitenge inabadilika.Siku hizi mtu anaweza kushona kitenge na kukiweka kwa namna anayotaka yeye na kuonekana wa kisasa na maridadi.
KIENGE kimejizolea umaarufu mkubwa sana ndani na nje ya Africa kwani KITENGE ni vazi la muda mrefu lisilo pitwa na wakati
Pia kitenge unaweza kuvaa sehemu yoyote na ukawa unajiamini angalizo hapa sasa inategemea na ulivyo amua kukishona kitenge chako

   PICHA ZA MITINDO TOFAUTI YA USHONAJI WA KITENGE


Uweza kushona short dress (gauni fupi)

Gauni refu lenye nakshi



Shorts na Koti





Skirt na Koti 




African Kitenge fashion