KUNA KIPINDI WATU HADI CHALLENGE WALIKUWA WANAPEANA ZA KU GO MAKE UP
FREE KUHAMASISHANA KUPUNGUZA MAKE UP,MAKE UP ZINASAIDIA SANA
KUPENDEZESHA APPEARANCE ZETU ILA SIO NZURI KI AFYA .LETS FACE IT ZINA
CHEMICHALS KIBAO.
SASA NIMEWAJIA NA SABABU NYINGI TU ZA WEWE KUPUNGUZA KU PAKA MAKE UP MARA NYINGI.
1.UTAPATA NGOZI YENYE AFYA UKIPUNGUZA MAKE UP UTAUACHA USO WAKO UWE
FREE NA VINYWELEO KUPATA SPACE YA KUFANYA KAZI YAKE,MAKE UP KILA SIKU
NAZO ZINAZEESHA NA KULETA WRINKLES .
![KUI](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_u5kJ4QAWsoYN1v4CqHW2q7j5Nq41AZtgKk0UmU2_MLgSUrbt6AKCKuEHXHsR_6JXtjqkjSEjevjgH4HDBJ8cTHUAn4FBd7ZE4ubeCHPH-49ZhuxpMm-6ldfifrSZqqmazAqFia=s0-d)
2.INASAIDIA
KUIMPROVE KUJIAMINI/CONFIDENCE WENGI WALOZOEA MAKE UP HAWANA CONFIDENCE
YA KUTOKA BLA MAKE UP WAMEKUWA WATUMWA ILA UKIANZA TARAIBU ITAKUONGEZEA
UWEZO W KUJIAMINI ZAIDI KUTE,BEA BILA MAKE UP
![878 - Copy](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vNjvikgttB4GVddlFA2yMjry3scQgDqCova1pjxohJJvUYwpj034BtINdmeW-I3i4ZRB4S-jumlllBXkNrejYMCGUXWAryjBJpa8voKOGQNHcXIqIClfa8VJ1NyvDqSDtZG-MXobma0LNZ=s0-d)
3.IT SAVES MONEY WOTE TUNAJUA MAKE UP NI GHALI ZILE PRODUCTS UNUNUE
ZOTE TENA UNAPAKA KILA SIKU KILA BAADA YA MIEZI KADHAA UNANUNUA ILA
UKIPUNGUZA NA KUANZA KUPAKA OCCASIONALY UTAWEZA SAVE HELA ZAKO UFANYE
KITU KINGINE.
![Y8I](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tOsFPCUsbzYOayDgdzndhd7RAPFxhuL0lefoGZzY2ZHx5CeTgm9q8m6v1ULxTGGDnn0JWHWl89UjV2OHtFxEHyejFFin2z-ySvbaOulyZybwVjQ9_kAUfxw8ipMHmsNvbZQcyDVg=s0-d)
4.LOVE/WAWEZA PATA MPENZI SIO KILA MWANAUME ANAPENDA MAKE UP WENGINE
WANAPENDA WADADA WANAOPAKA MAKE UP KIDOGO TU,NI VIZURI KUPAKA KIDOGO ILA
UKIPENDWA UMEPENDWA WEWE SIO MAKE UP NA HUTAWAZA KUAMKA ASUBUHI MTU
ANASHANGAA KHA HUU USO MBONA JANA ULIREMBWA KUMBE NDO UKO HIVI FOR REAL
UNAWEZA UKIMBIWE.JIAMINI
5.UKI GO MAKE UP FREE KUTASAIDIA WEWE KUPATA VITAMIN D ZAIDI UNAYOHITAJI MWILINI
![JU](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sAngR32GUNiuTVl3-WHbxJyjcRLjU6BYNathNKUxhDul8pbQAFfYfDPwLbrHVsl1akygKigNlA8ybCs86nSrc-qg0krscHWxD2eB-3fWGb1ZYJIkkLLuZxEdbpNk5cHGzJkgs=s0-d)
6.UNAPUNGUZA MIZIGO/IT LIGHTENS YOUR LOAD MAANA MPAKA MAKE UP LAZIMA
ABEBE VIKOROKORO VYOOTE KILA MAHALI ANAPOENDA MIZIGO KIBAO NA ILE KILA
SAA KURUDISHIA SIJUI LIPSTICK KIPODA YANI HAMCHOKI, ILA UKIWA UNAPAKA
KIDOGO NA MIZIGO INAPUNGUA,
![HIL](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uzibHesyezAUlmN00lj9f507OxHQWau9ykJqElA-hZSpae-p3XHBEHXFABzQn7Wis_65_eteD1E4wpMOhIDUFFhbbrQ3wU0vqwKTU2igkE8VryUyKOBjbCo-RFtz2WX2-v87r6wg=s0-d)
7.ALLERGIES MAKE UP ZINA CHEMICALS NA ZINATENGENEZWA NA INGRIDIENTS
NYINGI HIVI VIKOROMBWEZO VYAWEZA KUKULETEA ALLERGY ,ILI KUTOPATA /KU
AVOID ALLERGIE NA NGOZI KUZEEKA AU RASHES AVOID MAKE UP
![Attractive young woman outdoor with tissue.](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vWiPowoXZp6X_6jRuuxKYjcEUtv4u34kYcpahzd9dLBvgxicom0OBUHtKTOcgaBDlf0gnDlbG1tBCqsigqYELsJeLMX9d_05jil0vTYPfNbbKE0_fXnvqPNgGCwLCf1z_7jFe7ug=s0-d)
8.TIME KWAKWELI MAKE UP KUPAKA HADI UMALIZE ZINACHUKUA MUDA MWINGI MNOO SAVE TIME YAKO KWA KUPUNGUZA KUPAKA MAKE UP
![H7](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vnKKYGDfMOZFm8EZHK4lCtGDsu_oY406Xiz4cxcoQd--7MUdEDRMQKIkCA14snrLp1TiOEyWnoURQpWzBKnNNiQNCTPgF5d9g9I3qg0psJxydI18_f6HDeuSadyNiM6Cz7-mI=s0-d)
9.HARSH CHEMICALS WANAOTENGENEZA MAKE UP WANAWEZA KUWA WANAJITAHIDI
KUTENGENEZA MAKE UP KWA UBORA ZISIDHURU BINADAMU ILA HAWAWEZI KUKIMBIA
SWALA A KEMIKALI NA MADHARA YAKE KWA BINADAMU KINGINE WORSE NI WAO
KUTENGENEZA VYAKUTOLEA MAKE UP VYENYEWE VIMEJAA KEMIKALI NI SHEEDER ETI