Thursday, 25 June 2015

FASHION JEWELLERY TO DIE FOR YANIIIIII



LEFASHIONBLOGJEWELRYPOSTBAUBLEBARHONESTLYWTFERICALAURENVINTAGELOOKINGGEMNECKLACESANDEARRINGSGOLDSILVERBRIGHTTRIANGLEBIBNECKLACEDROPEARRI
 INAPOKUJA KUHUSIANA NA FASHION looh jewellery ni muhimu huwezi kukamilika bila mikufu, bangili na vitu vingine kama hivyo apo yani , kwa nini usiwe navyo saa?

NECKLACES:
 fashion jewellery art-of-glitz-1072-396741-1-zoom art-of-glitz-3720-666741-1-zoom art-of-glitz-3901-727741-1-zoom
daa necklaces ni muhimu sana inakamilisha mwonekano wakoo

EARRINGS:
art-of-glitz-3611-346741-1-zoom  fashion jewellery art-of-glitz-6990-907741-1-zoom decollete-7896-281971-1-zoom  fashion jewellery fabulous-8498-666991-1-zoom


BRACELETS:
 fashion jewellery art-of-glitz-0851-786741-1-zoom decollete-1226-781971-1-zoom decollete-1237-881971-1-zoom haute-7020-462681-1-zoom


RINGS:
decollete-1271-102971-1-zoom decollete-3241-170491-1-zoom j-town-4187-338081-1-zoom oaks-accessories-5963-453891-1-zoom (1)

apa sasa lazima uangalie na ni aina gani ya rings utakazo vaa usije kuharibu mambo 

ONEKANA STYLISH NA STARA MWEZI HUU BILA KUMKWANZA MTU

muda huu syo muda wa kuwa mzeee bwana ebu jaribu kuonekana mrembo kipindi hichi bila kumkwaza mtu yoyote unaonekana classic na stara upoooo


hijab fashion_feature_image-we-love-style-jumia
Unaweza kuvaa stara na bado ukaonekana mrembo but inategemea na ww mwenyewe unevaa nini mwezi huu ni mwezi wa kupunguza au kuacha kabisa kuvaa vile vivazi vya ajabuu bwanaa ebu jaribu kati ya hizi  apa alafu uone mambo yatakavyo kuwa bombaa


Mozah-bint-Nasser-20
2010-03-31-MOZAH  hijab_fashion_4

LAYERS
.oky kuna hiii apa sasa ebu ijaribu it just a dress au skert yako ndefu na  koti yako ya jinsi ee unaona apo unakua very fashionable na comfortable ee
11202446_691269270994864_2000179277_nhijab_fashion_510995091_1624087537821206_543618051_n

DAYTIME CASUAL
Get comfy and casual with a cool pair of trendy casual sneakers or brogues. You can never go wrong with a bright coloured print dress and nude-toned hijab…go for it!

11358152_123290264668822_312746954_n11376244_798082253622065_1934395405_n
hijab fashion - 1-hijab_fashion_we_love_style_jumia

LACE LOVER
aya sasan jaribu lace
11055688_1613245065585419_462205652_n11334417_1592726280975858_1663375757_n

TOUCH OF BLACK
 apa sasa always rangi nyeusi haikosei ebu jaribu hii ebu put som black attachment 
10914105_862540740475834_1874757845_n    11184686_1449377148688837_650404501_n11327004_1407529496241529_652714998_n     hijab fashion 3
10848274_313978872127220_1854293976_n

Sunday, 14 June 2015

NAMNA YA KUONDOA VIPELE NA MAFUTA USONI

Ukiwa mwanaume au mwanamke upigaji sopusopu ni jambo la busara sana ili kukuweka mtanashati na mwenyekuvutia muda wote kwa kuondoa uchafu na pia kuondoa mafuta ambayo yana kawaida ya kutanda katika sura.
Kitendo hicho huitwa scrub.Husaidia kuondoa chunusi,vipele na makovu na pia inapunguza mafuta usoni.
Uso unapokuwa na mafuta sana na kuyaondoa kunasaidia kupunguza vitu vingi pamoja na vipele na hata mabaka yaliyosababishwa na vipele au chunusi.
Unaweza kutumia scrub ya kwa njia ya mikono kwa kila baada ya siku tatu, na scrub ya mashine baada ya mwezi mmoja.
Scrub ya mkono.Tafuta aina ya scrub inayokufaa kulingana na ngozi yako.safisha uso wako mpaka uhakikishe kuwa umetakata kisha chukua scrub na kuanza kusugua usoni taratibu kwa muda wa dakika tano kisha nawa uso na unaweza kupakalosheni au poda baada ya kunawa.
Scrub ya mvuke.Chesha maji Nawa uso kwa kutumia maji safi na uhakikishe kuwaumetakata.
Futa uso kwa kutumia taulo safi.
Paka scrub usoni na pia shingoni kama utapenda. Sugua uso kwa kutoa taka.Chukua taulo jifunike na kisha inamia beseni lenye maji ya moto.Baada ya dakika tano toka na subiri kwa muda wa dakika tano nyingine kisha nawa. Paka poda au losheni.
Pia unaweza kutembelea saluni za kisasa kwa ajili ya kuufanyia facial uso wako Pia unaweza kutafuta sabuni ya ukwaju na ukawa unanawa uso asubuhi na jioni hii huondoa upele, chunusi na mabaka usoni

UREMBO WA MACHO UTAKUFANYA UONEKANE BOMBA ZAIDI



Eyeshadows ni urembo ambao hutumiwa juu na chini ya kope. Njia hii husaidia kuongeza kina na mwelekeo wa macho ya watu.
Watu wanapenda kutumia aina hii ya urembo ili kuweza kuimarisha muonekano wao.
Kama wewe ni mweusi jaribu kutumia rangi angavu ili kuimarisha muonekano wako ukitumia rangi za giza zitakufanya uonekane vibaya.
Ni muhimu kuhakikisha kuwa unakuwa makini ili kuweza kuweka macho yako katika hali bora zaidi ya kupendeza.
Wakati mwingine Eyeshadows hufanya macho kuonekana makubwa au madogo. Lakini cha muhimu kuzingatia je rangi unayopaka inaendana na macho yako au ngozi yako.
Unatakiwa kupaka rangi kwa ustadi mkubwa huku ukiweka mkolozo katika kona za macho yako.
Ni vizuri kama utatumia eyeshadow ya penseli kwani huwa rahisi kuitumia na inapatikana kwa urahisi madukani.Kuna rangi za aina nyingi ambazo hupendeza wapakaji, rangi hizo ni pamoja na pink plum, matumbawe na shaba, bluu na kijani
pamoja na fedha, dhahabu na nyingine nyingi.
Rangi hizi hutofautiana kulingana na mng'ao wake kwani kuwa zenye mng'ao mkubwa na zile zilizofifia.Njia ya kawaida ya kupaka eyeshadow ni kutoka ndani ya kona
ya jicho na nje na zaidi.Rangi kama Gray, violet, zambarau na bluu huwapendeza sana
watu wa rangi ya maji ya kunde na kusaidia kung'arisha macho yao.
 From Sifa yetu uremb blog