SIMONE POWDERLY WAS TOLD TO LOSE THE BRAIDS OR LOSE THE JOB
Hizi ndo braids zilomletea kasheshe
Unapokuwa unatafuta kazi unajua vikwazo utavyokutana navyo ni may be kushindwa kujibu mwaswali au wegine uvaaji flani ila wengi huwa wanajitahidi kuvaa inavyotakiwa siku ya interviews wengi swala la nywele sio issue ila huyu bibie Simone yeye kilimkumba kigugumizi baada ya kuambiwa kuwa Braids/Rasta za mabutu alosuka sio natural hair kwa hiyo achague moja kuzitoa au kukosa kazi .Unaweza kirahisi tu kuona si angezitoa tu ???khalafu kama kazi unayotaka inakubagua kwa nywele tu na ukakubali kubadilibasi kesho yake watakuja na jingine.
Anaitwa Simone Powderly ni blogger maarufu sana yeye ni chotara wa Mama wa Ki Irish na baba wa Kijamaica.ali apply kazi kama kawa akaitwa na job recruiter ila alipofika hakupendezwa na braids zake akaambiwa atoe rasta muda wa interview ukifika ,akaona akikubali atakuwa hajasimamia kwenye equal rights na ni kama kukubali kuwa discriminated wakati kila mtu ana uhuru wa kuwa na style ya nywele anazotaka yeye.Kama Braids zake zilikuwa hazimzuii yeye kufanya kazi basi kwanini azitoe??
SOMA STORY ZAIDI HAPA CHINI
A POPULAR blogger and model says she has been the victim of discrimination after a luxury recruitment agency asked her to remove her braids or risk missing out on a job opportunity.
The exchange is said to have taken place in November 2014 when Simone Powderly applied to get on the books of Elite Associates, which describes itself as ‘a respected leader in the luxury recruitment industry, providing the highest calibre of candidates to the most selective and prestigious retailers and brands in the world’.
The 25-year-old from south London, who wears her naturally curly hair in different styles including straightened or braided, said she received a worrying phone call despite soaring through the first round of group assessments.
She told The Voice: “I was told I was successful in my group assessment but what was said next I didn’t expect. I was asked: ‘Can we ask you to take your hair out in time for the interview…high-end brands like a more natural look?’”
Story ya huyu dada imenikumbusha story ya ZENDAYA COLEMAN ambae kwenye kipindi cha Fashion Police mtangazaji GULIANA RANCIC alimtolea comments mbaya sana huyu Zendaya na nywele zake za DREADLOCKS kwenye Oscars ya mwaka huu ![ENDAYA](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vAzY-KlWGK86HpJwUs3eCpLMusv_IqDi-PM1_l5oNwmjw6YOjCkAPnqA_MomZcpQbf1nbi2PqgTI54IKR3wJCLFGY4Lm4CdgiV_b6GcWkqzubxlgdkG55oxdVyBJzOYFj0wZK9GGKZOkr4DiqswvuSr1oqqx1a8eMix65g4wXyjf4=s0-d)
Guliana said her dread locks made it look like she smelled ‘of weed and patchouli oil
Guliana Rancic pichani chini alishambuliwa sana kila mahali aka apologize baadae na ndo kilomfanya hata Kelly Osbourne kuacha kazi pale E channel.![G](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_v9UeeZbxPexd92dgynUplMhFCubZgF-R82_PQt94g1qQ9E7qAfDe3QO4TReDGQa0uMtlI943lEJ2od1nqUy-SwjoCnYgvotiAyR8ljcsoZtF0NG-s15tTfoc2KaZZDBsrzV0iI70Oiy2D-dOpxB1a62cLSd6UycgXy19WUJQ=s0-d)
Huyu ndo Kelly kwa ambao hamumjui na aliacha kazi over hii issue ya Zendaya coz hakuridhika na maneno aloambiwa Zendaya na wote walikuwa involved na issue hiyo.
Na Zendaya ni rafiki yake sana na wale walokuwa involved hawakulifanyia hili swala kazi kama ilivyotakiwa akaona asepe howa ndo loyal friends sasa na pia unasimamia swala na Equal Rights